Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Babuuh vipi kuhus hela ndo unakausha au? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sikusomi fresh ujue? Hahah
Nimekwambia niflash nikaona kimya
Nikakwambia nidipu bado ukawa kimya... Nikajua tu hapa lugha gongana[emoji2]
 
Wekeni picha acheni maneno
IMG-20210924-WA0105.jpg
 
Leo nimepita sijaona vya kuyafurahisha macho, ngoja tuone wiki inayokuja.
 
Back
Top Bottom