Selfika na JF: Snap it. Show it

Mimi siku wakitengeneza vibranium Cars wanistue
 
Machalii wa Arachuga utawajua tu yani
 
Hivi wakuu humu hamna aliyewahi kuipiga hiyo Kiwingu? Nasikia eti ni jamaa wa K Vant mwenyewe kaja na hiyo anataka kuiua K Vant maana siku hizi zinachakachuliwa sana kama Konyagi tu!
 
enjoy cocastic

Ile ban yako ulikosea nini mods?manake kifungo hakikuwa cha mchezo mchezo
ile ban kwan nlijua ni ya maisha, af sasa sijajua kosa langu had leo,

Hii ban imenifanya had acc angu ya twitter iwe maarufu na followers wengi, maan nlihamia kule serious sasa, tatzo kule sipawezi, kna vijana wa hovyo na serikali ya jamhuri yao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…