Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Weee usiniambie[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ndyo, km mie nimeambiwa nimeanza kunenepa, mbna nawazaa kufanya diet na mazoezi, ikishindkan hapo, kukata utumbo kutahusika tyuuh. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ila walikalima ban ndefu mno dah[emoji23][emoji23]
Miez 2 [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] so mchezo. Yaan ndo imenifanya nikaijua kutumia twitter (twiraa) vizuri, huko kna mambo ya ajabu khaaaah, kumezidi sana siasa lol.

Jamhuri ya vijana wa hovyo, couple maarufu ya Denge na Coco, yaan twitter siiwezi mie kwavkweli, nlimic mno chimbo langu hili JF.
 
Back
Top Bottom