Nifundisheni kutoa emoj kwenye picha
Picha 1 kutoa emoj ni 10k
Nifundisheni kutoa emoj kwenye picha
Usijali kabisaa my dear!!Ukishafundishwa unikumbuke dear
Ila sijui kwanini napishana na kapicha kako![]()
hahaha wewe kama mimi yaniHata mie kuna mahali nimewahi iona ni wapi ndo sikumbuki
Kwanini?
Acha ubadhirifu banaPicha 1 kutoa emoj ni 10k
Hapo ni wapi? Mbona sio pageni machoni kwangu.Hahaha ndio ndio baada ya hapo nasogea hapoTangu mwaka 1977View attachment 1223487
Hebu taja
Yeah, I'm.
Acha ubadhirifu bana
Subiri anaweza kutokea msamaria mwema akakufundishaUsijali kabisaa my dear!!
Nani wa kunifundisha sasa?!
Kapicha kangu nakatuma saivi
Hahahaha hornet msalimie p.minj
Uje pmUkishafundishwa unikumbuke dear
Ila sijui kwanini napishana na kapicha kako![]()
Naja mama najaaUje pm
🤣 🤣 🤣 🤣 aiseee uliisave kweli kumbe
mko wachache wa dizaini yako 👏 👏Nipo serious nimemuelewa sasa kwa nini nifiche?
Inamaana watu humu hawaendi kuvunja ileamri ya 7??
Mbona sioni picha za 6×6 kunako mahotel,lodge,guest h n.k![]()
Haya karibu sana mtaani kwetu
AmenSubiri anaweza kutokea msamaria mwema akakufundisha
Ewaaaah nipo kukasubiri hapa