Selfika na JF: Snap it. Show it

Tanteeeh mlongo, tenaaah had nmechoka mweeeeh, mahindi enyewe mengi na hayaishi sasa, navuna wee had mikono inatoa lenge lenge.
Hii kazi siitaki kabisa
,mie nakuwaga mpishi tu nikienda shamb...sio kuvuna
 
"....Nyakati zijazo ni za viongozi ambao wanaheshimu uhuru wa watu wa kupumua (i.e kufurahia haki zao za kiraia, kisiasa, kiuchumi na kijamii) na si nyakati za viongozi wanaowakandamiza uhuru wa watu wao (wanaowaongoza) kwa mkono wa chuma wa utawala wa kiimla...." Joe Biden
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…