Its Pancho
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 16,775
- 28,221
Umejuaje aseeh? Ni zaidi ya rafiki huyu hata hii ni mashine yake rane nikienda dar lazima nipite kwake kutest mikono.Oya KG 😅
🙌🏾🙌🏾🙌🏾
Umejuaje aseeh? Ni zaidi ya rafiki huyu hata hii ni mashine yake rane nikienda dar lazima nipite kwake kutest mikono.Oya KG 😅
Mkuu bishoo sana wewe
Weka hata ukuchaUnique tattoos zinaweza kujulikana.
pancho achana na hizo taarifa...ni uzushi[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Mkuu bishoo sana wewe
Weka hata ukucha
Unaninyima hadi ukucha BAK![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mtakatifu Anne anataka kuuona ukucha wa BAK hahahahaha lol!!!!
[emoji23][emoji23][emoji23]
Umebakiza au umeongeza?Kwa jinsi nnavyoyapenda.....View attachment 1946331
mniache jamani mbona siwaelewi ninachojua huyu geraldincredible ndio mwenyekiti wetu msiniulize wa nini 😀😀😀[emoji23][emoji23][emoji23]
Kalumbu geraldincredible nimekutafutia makamu msaidizi.
Atachukua nafasi ya Billy.
Ukiachia ushuzi hapo ni zaidi ya Mass destruction weapon 😀😀Kwa jinsi nnavyoyapenda.....View attachment 1946331
Huyo ni katibu.mniache jamani mbona siwaelewi ninachojua huyu geraldincredible ndio mwenyekiti wetu msiniulize wa nini [emoji3][emoji3][emoji3]
nae mzee wa vitu??[emoji23][emoji23][emoji23]
Kalumbu geraldincredible nimekutafutia makamu msaidizi.
Atachukua nafasi ya Billy.
mwenyekiti wa nn bro[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]...mnaweza nipa uenyekiti bila kujua naongoza nnmniache jamani mbona siwaelewi ninachojua huyu geraldincredible ndio mwenyekiti wetu msiniulize wa nini [emoji3][emoji3][emoji3]
kaka hakikisha unachowaza unakitendea kaz...
Naahidi kutekeleza ipasavyo ndugu mwenyekitikaka hakikisha unachowaza unakitendea kaz...
kunywa bia
Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
unaongoza viti virefu mkuu wangu.mwenyekiti wa nn bro[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]...mnaweza nipa uenyekiti bila kujua naongoza nn
Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
Tutakuwa tumekosea tukisema ndege wafananao huruka pamoja? 😀