Humu sijaona bado, wanaongea tu na ku post lips hakuna manzi wa kunistua hapa, kama yupo si ajitokeze, kama pisi yangu ya kawaida si wajitokeze waniabishe hahahaahhh
watoto wa humu kazi kuweka lips tu, lips hata sokwe mtu anazo
Tulia wewe, mashemeji zangu wa jf kazi kutuwekea visigino vya miguu,masikio na midomo, miguu hata mimi ninayo tunataka kuona contents a.k.a yaliyomo, wanifunge mdomo. kuna mmoja kajaribu lakini amepigwa k.o.

Sana kwa kweli,tunatakiwa kuifurahia kila pumzi Mungu aliyotujalia doesn't matter what's going on in your life.
Nimeanza kutamani tutengeneze couple yetu kama ya kina smart hiviii.
Wale Jamaa nimemis sana penzi lao la kijamiiforum,I wish warudiane tena.