Selfika na JF: Snap it. Show it

Daah ama kweli uzuri wa mtu upo katika macho ya anayeangalia, mkuu mimi kama mwanaume sijaona uzuri wowote wa huyo mwanamke wako hata akikaa uchi ninapita acha kuleta dharau kwa warembo wetu huku...embu kiwa kidogo
Mkuu Usipanick basi, mimi nataka nione mashemeji zangu mashallah walivyobarikiwa, wewe unaingilia, una mdefend nani mkuu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…