Dimpoz mashallahMaisha mafupi baby, ukikunja kunja sura utazeeka vibaya [emoji41][emoji1787]
#beerTamu
View attachment 1945057
Ndio tunapambana na huyo mwenye mwili wenye mabonde?[emoji38]
Dimples,hazifichiki[emoji8]Maisha mafupi baby, ukikunja kunja sura utazeeka vibaya [emoji41][emoji1787]
#beerTamu
View attachment 1945057
Hivi naenda kutubu[emoji23][emoji23][emoji23]Nimeona nikasema nisichume dhambi
Oh pole.Nipo songea huku yaani,baridi upepo mkali,mara kimvua yaani hakueleweki
Mguu wake sasa ndio unaonichekesha zaidi[emoji38]Adondokee pua[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]jamani,kaenda kuzikusanya aje azimwage hapa[emoji3]
Kweli kabisa.Mshaambiwa hamumfikiii hata kidogo. [emoji1787]
Mumcopy wifi jaman
Ahsante,nishazoea yaanOh pole.
Utazoea[emoji4]
Hivi naenda kutubu[emoji23][emoji23][emoji23]
Huo mguu Inatakiwa mtu wa mwili mdogo kama wangu.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Leo beer zinashuka ! Mamaee..Maisha mafupi baby, ukikunja kunja sura utazeeka vibaya [emoji41][emoji1787]
#beerTamu
View attachment 1945057
Maisha mafupi baby, ukikunja kunja sura utazeeka vibaya [emoji41][emoji1787]
#beerTamu
View attachment 1945057
Dogo we ni mpuuzi 🤣🤣🤣🤣Kweli kabisa.
Wadada wa humu hamumfikii wifi yenu kwa mabonde mabonde[emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Tunyamaze tu
Saa nyingine kuna mwingine Ana picha yangu anatambia Facebook, nanangwa Hivi hivi [emoji23][emoji23]
Mnapost mattercall tuu mkuu..Utaalamu gani mkuu[emoji23][emoji23]
[emoji4][emoji4]Ahsante,nishazoea yaan
Nashindwa hata nimpambanishe na nani,Dogo we ni mpuuzi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mkuu yule kuku wa jana ulimmaliza!?Wezereee