Mawardat
JF-Expert Member
- Apr 27, 2021
- 25,997
- 137,035
Mwache aringa jamaniNapenda dimples
Kazipata baby girl wangu
Anaringa hatari

Mie nazipenda,yaani nikimuona mtu anadimples yaan nikimtizama tu nasmile,nahisi nae ananiangalia

Mwache aringa jamaniNapenda dimples
Kazipata baby girl wangu
Anaringa hatari


Hii nyingine,ameshtukaUmeona guu lake la bia?![]()

Kwa hio wanawake wanene sio wasafi ndicho unachomaanisha right?Sisi ni wembamba. Mkuu unamwaga wazungu sehemu safi... Pisi yako qaliii hongera.
Khaa 🤣🤣🤣Mwache aringa jamani
Mie nazipenda,yaani nikimuona mtu anadimples yaan nikimtizama tu nasmile,nahisi nae ananiangalia![]()
Duh somo la interpretation mkuu una ZERO yako safi kabisa.Kwa hio wanawake wanene sio wasafi ndicho unachomaanisha right?
Ee napenda tu yaan,Khaa![]()
We mwenyewe unazo... Si uwe unajitizama kwa kioo.
Duh somo la interpretation mkuu una ZERO yako safi kabisa.
Pls re-read my comment.






Sijaona humu ngoja niendelee na inshu zangu.Hii nyingine,ameshtuka![]()
Mashemeji mnafeli wapi?
Nikiweka za studio mashemeji mtakimbia, vipi mbona kimya?
View attachment 1945224
Unavyojua kunidanganya sasa 🙄🙄🙄Nisubiri hapo nakuja kukununulia Bruce lee.
Ntafurahi ila bado ntakuwa nakufukuza ili ukatengeneze hela za kuendelea kuspend 😉😉Mi utaniawekea na kasofa cha kuegesha ubavu kabisa maana ntakua siondoki![]()
Shemeji yamekuwa hayo tena.Duh somo la interpretation mkuu una ZERO yako safi kabisa.
Pls re-read my comment.
Enjoy 😆Ee napenda tu yaan,
Unayumba mwana.Shemeji yamekuwa hayo tena.
ok thanks, nimeelewa ulichokuwa una maanisha kwenye cmmnt yako.
thanks.
Mkuu hizo za utangulizi ni kama welcome form one, akijitokeza wa kushindana nikishusha vitu hapa nawaonea huruma sana.Mbona kasimama kama hajiamini, mkuu?
Mtuache 🤨🤨Mchaga huyu
Shem nayumba kivipi tena?Unayumba mwana.
Mkuu hizo za utangulizi ni kama welcome form one, akijitokeza wa kushindana nikishusha vitu hapa nawaonea huruma sana.
Nawasubiri kuna silaha nimezitunza.