Its Pancho
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 16,748
- 28,142
Lazima utapata kitambi utakuwa unabugia na hot chairNakunywa Serengeti 6 😂
Lazima utapata kitambi utakuwa unabugia na hot chairNakunywa Serengeti 6 😂
Bro the shit you talk_______________Acha ushamba
Una kissable lips.Lips zinasemaje? Viungo mfanano 🤣
😁😁Upo Vizuri kwenye Business.
Weka contents.Niweke mara ngapi?
Au huna macho?
Humu tunaselfika willingly ..
Hatuselfiki kwa presha ya mambo.
Mpaka mzee mafulungu afe jamaniNikabidhi mie hicho kiwanja![]()
Anyway, nice try, japo hujamfikia manzi yangu but nice try, ujue kwa nini?
KwendraaaaUna kissable lips.
Nikabidhi nikiuze mieMpaka mzee mafulungu afe jamani
Nisimame nielekee wapi usiku kama huuAnyway, nice try, japo hujamfikia manzi yangu but nice try, ujue kwa nini?
1-angle uliyotumia lazima ikuze hilo hips
2-umekaa chini, simama shem basi tukuone.
Nikuwekee dadaangu,yumo humu nimuwakilishe
,hizo pisi zako haziingii kwake
Mtoto Depal , mtoto mwenye dimpoz zake, lips denda, mtoto chocolate color.Kwendraaaa
kwahiyo kumbe hana chura eeh?Anyway, nice try, japo hujamfikia manzi yangu but nice try, ujue kwa nini?
1-angle uliyotumia lazima ikuze hilo hips
2-umekaa chini, simama shem basi tukuone.
weka mtoto mzuri, weekend hii tu enjoy.Nikuwekee dadaangu,yumo humu nimuwakilishe,hizo pisi zako haziingii kwake
![]()
Mko na anko zenu humu na babu..Mkuu huyo ni wewe?
Heshima yako uncle
That's my baby hata kama sijalewa wewe ndo bia yangu.Sawa babe acha nijiphotoe
Yupo vizuri wewe mtoto mawardat,kwahiyo kumbe hana chura eeh?
Kiharakaharaka nimegundua kama wewe si mtoto basi unautoto mwingi/mlamba lips...no offence