Selfika na JF: Snap it. Show it

Dadaangu Saint Anne na mtani wangu Behaviourist tufanyeni ule upepo mchafu umepita ... Mada yetu hii ni nzuri na wengi tunakimbilia huku tukipata stress kule kwingine.... Nyie wote ni watu wema...! Natambua kutofautiana kupo hakukwepeki popote... Lakini sisi sote kwa utashi na hekima zetu tunaweza kutumia kupishana kwetu kama funzo na ukomavu wa kiakili kwa kumaliza tofauti zetu kiroho safi.... Selfika imetuunganisha basi naomba isitutenganishe... Asanteni sana na Mungu awabariki wote
 
Unamtaja Mshana ambae hata humuheshimu.Ungekuwa unamuheshimu ungekaa kimya kwa kuwa alishaomba haya mazungumzo yaishe.

#Lunatics
Mbona hata wewe umeendeleza mjadala?
Ina maana wewe pia haumuheshimu?

Kumuheshimu au kutokumuheshimu hilo anajua yeye na Mimi mkuu.

Usianze kunipigia ramli tu kwamba simuheshimu.
Mimi kumuheshimu au kutomuheshimu is non of your business mkuu.


Hehehe
#Stupid
 
JamiiForums-1883924058.jpg
 
Back
Top Bottom