Nimepitia baadhi ya nyuzi zako nimegundua bado ni kijana mdogo sana, anyway mimi kama kaka yako nakushauri upambane na shule kwanza kukesha kwako mtandaoni na kuwafuatilia wasanii hakutokusaidia chochote katika kesho yako...
Tena nimegundua hukufaulu kidato cha nne na hivyo kupelekea wewe kutokuendelea na kidato cha nne na hivyo kusomea certificate sijui ya kozi gani na sasa unasubili kujiunga na diploma sijajua kama gpa yako ya certificate inakuruhusu kuendelea na ngazi inayofuata...
Una safari ndefu ya maisha na hujaona mengi, hivyo ningependa ukazane na shule kwanza usiruhusu utandawazi ukutawale na hivyo kuharibu future yako nzuri uliyoandaliwa huko mbeleni na Mungu...
Karibu Sir Mshana Jr.Dah... Rizla... Sacred [emoji263] weed [emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]
Mkuu,ukirudi nitag...hata mie natamani life ban
Hakikisha hadithi yako inakuwa nzuri kweli sasa
Ni wanaume wote mama yangu siyo hawa tu, na ndiyo maana wanakuwa disturbed sana na women empowerment maana walishazoea maisha ya babu zetu na bibi zetu wanawake walikuwa hawana sauti chochote watakachoambiwa wao ni "ndiyo mume wangu" which is kinda difficult kwa dunia ya sasa kwa kweli.Wanaume wa huku hawapendi kubishiwa. Ukibisha wanaona kama unawadharau
Unatakiwa unipate mimi ili nikupatie kitu roho inapenda. Njoo nikuoe basi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kabisa yaani mie mwenyewe nilivamia ugomvi tu ila eti ndiyo nikajikuta nina hasira kuliko waliotukanwa hadi kaka wa watu kanung'unika haki inabidi niache huu utani wa kijinga humu JF kuna watu huwa wanamaindi kweli aise yaani mimi nikija kupata mume kauzu asiyependa matani sijui nitaishije nahisi nitakuwa nakula mabanzi kila siku
Mkuu,ukirudi nitag...hata mie natamani life ban
Hakikisha hadithi yako inakuwa nzuri kweli sasa
Nilikuwa darasani πWashindani wenzio akina Depal & Saint anne wamepotea naona kwa hiyo zawadi yako hiyoππ
Kwani best wewe haupo kwenye list yake usisahau ulitoa tusi jamaa akapaniki πππππMie ngoja niandae popcorn kabisa vipi ziwe spicy au kawaida??
Me haujanishinda π πHao nilishawashinda sema ma sponsor wamegoma kunipa zawadi.
We Dada πππππKama nakuona na box lako la sabuni
LizarazuNi wanaume wote mama yangu siyo hawa tu, na ndiyo maana wanakuwa disturbed sana na women empowerment maana walishazoea maisha ya babu zetu na bibi zetu wanawake walikuwa hawana sauti chochote watakachoambiwa wao ni "ndiyo mume wangu" which is kinda difficult kwa dunia ya sasa kwa kweli.
Hivi kweli dunia inalizunguka jua ?kwamba dunia ndiyo inalizunguka jua"
Mwana hebu tupia moja ya kishikaji kwa niaba yangu.Unatakiwa unipate mimi ili nikupatie kitu roho inapenda. Njoo nikuoe basi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kwani haiwezekani?? Sisi kwetu tunafuga paka na mbwa na ni marafiki vibaya hovyo!!Hahahah leo paka na mbwa wamekuwa marafiki[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
πππMkuu,ukirudi nitag...hata mie natamani life ban
Hakikisha hadithi yako inakuwa nzuri kweli sasa
π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£ hao watakuwa mifugo wa kinondoni.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kwani haiwezekani?? Sisi kwetu tunafuga paka na mbwa na ni marafiki vibaya hovyo!!
Usikonde mwanetu, ntakupostia tu.Mwana hebu tupia moja ya kishikaji kwa niaba yangu.
[emoji1635][emoji1635]Cheeers
Nasubiria kwa shauku.Usikonde mwanetu, ntakupostia tu.