Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 51,682
- 208,857
Jamani sio kwa hiyo caption. 😂 Ni kheri kama wakosoa na kurekebisha.
Ahsante kwa picha.
Ahsante kwa picha.
Niko slim/skinny, mrefu wa wastani, black, ndevu sina, pesa sina, sio mvaaji kivile, sili kwa ratiba nakula endapo tu nikihisi njaa, mtu wa indoor [emoji3]. Tabia yangu mbaya ni kukosoa na kurekebisha kila ninachokiona hakipo sawa.
Picha hii ya last yearView attachment 1932553