Selfika na JF: Snap it. Show it

Tenzi? No ngapi?
 
Ayubu 42:10
Kisha BWANA akaugeuza uteka wa Ayubu, hapo alipowaombea rafiki zake; BWANA naye akampa Ayubu mara mbili kuliko hayo aliyokuwa nayo kwanza.

Mungu akageuze uteka wako, akurejeshee maradufu katika yale adui aliyoharibu na kuiba
 
Msaada tutani, December ikimpendeza Mungu nakuja huko,naomba kujua maeneo yenye hotel za gharama nafuu isiyozidi 50 kwa siku na maeneo gani mazuri kutembelea,na vp kuhusu usafiri wa kunifikusha niendapo?!
Kwa mwenyeji yeyote wa zenji msaada

Watakuja kukupa muongozo mkuu. Ikiwa ni wakati wa low season, gharama zinakua rafiki.

CC
Smart911
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…