Shule wengine wanaona ni kama sifa, kuna jamaa alirudi shuleni kusoma engineering eti kisa gf wake alikuwa engineer, sasa katika chatting gf alikuwa ana terminologies za ki engineer, jamaa akaona ya nini kunyanyasika akarudi kusoma engineering waende sawa eti hataki kuzidiwa, cha ajabu hata cheti hakimsaidii lolote...
Kusoma ni kipaji mkuu...