Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 51,682
- 208,862
Tumbo? Kwa kweli naliona limejaa dogo 😂
Dah[emoji559]View attachment 1925886
Jana si nikapiga pic ugali nikasema nitakupostia nikutag uone. Maana naona na wewe una pigo za kisley qwin.
Saint Anne kwani we ukikaa hupati hips? Kuna hizo hips zipo kwa kila jinsi KE, ukikaa tu lakini ukisimama hamna kitu 🤣
Mkuu umefufuka?Yapi yalikusibu,i wanna know!
Kweli una kitambi[emoji23]Tumbo? Kwa kweli naliona limejaa dogo [emoji23]
[emoji38]Jana si nikapiga pic ugali nikasema nitakupostia nikutag uone. Maana naona na wewe una pigo za kisley qwin.
Me hako ka ugali hakiii nitaumwa njaa saa 5 tu.
Wenyewe wanasema kula si kunenepa. 😂
Dah 🤣🤣🤣
Umesahau vitarakimu 10 tu please
[emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji559]View attachment 1925886
[emoji23][emoji23][emoji23]acha tu mkuu naambiwa kuna mkubwa alichafukwa akaaza kutembeza vipigo kama hamza[emoji1550][emoji16] vilio vilikuwa vingiMkuu umefufuka?Yapi yalikusibu,i wanna know!
Tarakimu gani mkuu 🤔Umesahau vitarakimu 10 tu please
Zile zinazoanza na 07....au 06...Ila tuma inbox yangu tu nikupe hi.Tarakimu gani mkuu [emoji848]
Kigamboni ni nchi nyingine ile ujue. Kama hulali shurti kuondoka mapema 🙂Mbona sasa umewahi kuondoka lizzy..
Unamtafuta tena au 🤣[emoji23][emoji23][emoji23]acha tu mkuu naambiwa kuna mkubwa alichafukwa akaaza kutembeza vipigo kama hamza[emoji1550][emoji16] vilio vilikuwa vingi
Sent from my Infinix X692 using JamiiForums mobile app
Sasa huo ugali mbona kidogoUnaona vitu vya wakulungwa? Saint Anne
Valentina kujaa. Na vile huonagi mention nakuita tu basi [emoji23] View attachment 1925931
Unafanana na ule wako? Ule wako hapo si unakata mara 4!.