Selfika na JF: Snap it. Show it

Nafuatilia kuanzia mwanzo, na mwenye uzi alishaasa yakaisha ila bado yanaendelea na Mshana Jr kaacha mtu ajadiliwe bila yeye kuwepo kujitetea, akiguswa mwingine mmmh anyway ngoja niwe mtazamaji
Dah... Sijaelewa hapa.. Ila kiroho safi kabisa tufanye kama imeisha hii.. Tulimalize kiume kuonesha tofauti
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Ukisikia habari mchanganyiko Basi ndio hizi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] kwakweli

Mambo kutinginyana
 
Dah....[emoji144][emoji144][emoji144][emoji144][emoji144]
 
Yaishe mkuu..tusifanye mambo yawe mengi.

Funika kombe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…