Hornet
JF-Expert Member
- Apr 29, 2013
- 26,845
- 52,251
Kwa mnavyotupia humu .mm nikitupia nitaharibu uziThank you! Hivi ushawahi kutupia kapicha humu japo kucha tu tuone🤔
Ungejua ni kitu cha karume tu buku 7 tu😀Halafu hy siio vunja bei ujue kitu Woolworth hy
Kuna sehemu niliona umetajwa kama mnyaki na mtani wenu mkubwa humu jf.. ni kwel ama??Dah wacha niseme tu thank you mkuu Mgiriki og🤪
Hivi Mshana kawazingua nini Mods hadi wamemlambisha ban aisee🤔nimekosa usingizi nikaona heri nije kuwasalimu wanaselfika.. naona wote wamelala.. Mkuu Mshana Jr kala ban anejua nikiadimika Chakorii hayupo😎
Hiyo ata afulie maji ya bahari haipauki...Halafu hy siio vunja bei ujue kitu Woolworth hy
Yes mimi ni mnyaki og kabisa, kwani una shaka yoyote juu ya hilo mkuu😂 are you mnyaki too?Kuna sehemu niliona umetajwa kama mnyaki na mtani wenu mkubwa humu jf.. ni kwel ama??
We mtakatifu huo msosi ongeza hebu
Basi mwenye kiwanda akupeDah acha basi mkuu😂😂 sina kiwanda chochote kabisa😀
Dah Basi mwili wako mzuri nguo yoyote yakaa ikatulia tuli😊Dah acha basi mkuu😂😂 sina kiwanda chochote kabisa😀
wap hii isije ikawa tupo sehemu moja😀
Si kweliUngejua ni kitu cha karume tu buku 7 tu😀
😁😁😁 Wewe tu mbishi. Tungekuwa tunakula story kibao by now 🤓Tutazama DM, maana namba ya simu tulipewa ya masela wake Hamza![]()
sijui hata shida nini ila imenikosa hii leoHivi Mshana kawazingua nini Mods hadi wamemlambisha ban aisee🤔
😁😁😁 ndo maana ake. Hamna cha "ohhh kitu gani sijui kiko wapi 🤔" . Na ole wake mtu achukue hata toothpick tu....hajaondoka ushajua 😄😄Hahaha, Mali zote zipo eneo unaweza ziona.
Mwili sukariDah Basi mwili wako mzuri nguo yoyote yakaa ikatulia tuli😊
Naona anaitwa mwenye Mali zake