Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 43,246
- 90,426
MmmhHakika sikutanii mkuu! Nilivo mchumi hivi hee😔
MmmhHakika sikutanii mkuu! Nilivo mchumi hivi hee😔
Wakati una Phd hapo ulipo😂Dah kwann sikusoma mie
👊🏾👊🏾 Fellow fenesi lover!Fenesi fenisini, nayapendaga haya😍
Std 6 pale mang'ula primaryWakati una Phd hapo ulipo😂
Dar mtu natokea zangu igurusi huko ndani ndani.. sehemu inaitwa Dareda😀Hee haya mkuu wa Dar🤭 siye wa mikoani huko
tutulie tuu Mama atukumbuke😀Mkuu we acha tu .nchi ngumu hii
Yaani ukipata lililoiva dah, naweza maliza hivo vikopo vyote😀😋👊🏾👊🏾 Fellow fenesi lover!
Na hili lilikuwa limeiva vizuri mpaka raha 😋
Imeniuma kinyama yaani, ujue tumekosa mengi kutoka kwakendo hivyo mkuu mshana katufungua...
Tuombe Mungu ktk hilitutulie tuu Mama atukumbuke😀
kwa jinsi unavyokaangizaga.. mapishi yako lazima ushindwe tuu kula roadTime tu😕....alafu huwa nikiwa mwenyewe barabarani huko siwezi kukaa mahali nikala chakula kama chakula 🥴🥴
Thank to you and congratulations nyingiThank you mkuu
Mkuu Melo alione hiliImeniuma kinyama yaani, ujue tumekosa mengi kutoka kwake
Hee Mang'ula ndiyo wapi huko wakati umesoma Harvard university sawa tuStd 6 pale mang'ula primary
Mang'ula ya Morogoro bossStd 6 pale mang'ula primary
Sijawahi kutoka nje ya morogoroHee Mang'ula ndiyo wapi huko wakati umesoma Harvard university sawa tu
Hujawai niangusha siku nije nikukose nakuwa kama sijaja vile... maana ile umeadimika kama naikumbuka vile
YesMang'ula ya Morogoro boss
Nah I'm just at home ,don't really go out on weekends .. I live a pretty solitary life 😕It's going great, what about you? Are you at home already or somewhere special 🤪
............