ISO M.CodD
JF-Expert Member
- Feb 17, 2013
- 8,134
- 17,603
Gambe lazma na awe na ushenzi wa chini chini pia. Aweze kuni suprise mara moja moja nisiamini nnachoshuhudiaLazima waifu awe anakula gambe au? Kama wewe sio mshika dini sana/mlokole; kwa kweli mlokole kaa naye mbali tu