Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,924
- 95,729
Mkuu sasa hivi nina adabu sana,napambana sana na kinywa changu ndiyo maana mara nyingi napotea sana.Kwema mkuu
Mkuu sasa hivi nina adabu sana,napambana sana na kinywa changu ndiyo maana mara nyingi napotea sana.Kwema mkuu
Acha na anko frog Ame kaa kikuda mno
Hahahaha naona mkuu..ila usipoteeMkuu sasa hivi nina adabu sana,napambana sana na kinywa changu ndiyo maana mara nyingi napotea sana.
SawaHahahaha sawa. Sawa
Wacha bhana🤣🤣🤣Hahahaha lini nimekwepa ? Siwezi kukwepa salamu za shangazi yangu ..
Kho kho khoNakusalimia
Eheee bhana😁😁😁Umejionea wewe
Namuona anavyoruka fika hapa🤪🤪Mbanee haswaa
Ndio!uko na ukuda mobu sana
Seen! Ila imefichwamo kwa suruali.
HahahahaWacha bhana🤣🤣🤣
HahahahaYes Sir!nataka nimjue maana kuna wakati huwa unakwepaga salamu zake kutoka kwa changu Lee
Hapo niko site nimevua buti subiri jioni nikiwa ndani ya pensiSeen! Ila imefichwamo kwa suruali.
Tuko pamoka mkuuNakusalimia
Umekunja nne una hela dada? Au unatafuta kuumwa miguu 😂 😂 Kiddin'
Hiyo raba imenikumbusha shule muda wa kwata.
imeniuma sana depal....mimi naitumia kama mtoko ww ulivaa zamani kwenye kwata....Hiyo raba imenikumbusha shule muda wa kwata.






🤣🤣🤣 acha zako weweimeniuma sana depal....mimi naitumia kama mtoko ww ulivaa zamani kwenye kwata....
acha nivue nitembee peke kama mpoto
Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app