Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 50,508
- 203,233
Ndegeeee msalimie baba askari anapita. Hebu imba vizuri Saint Anne
Aika mbee, kitewe ulaifuma nkyi? Au mfukunyi kuilyi?SHiMBONi SHENU LANYO,WKEND YAENDA KURA LANYO? NGI KANYI INU NGUFUMAFO. KARIBUN WOSE KUCHU
🤔🤔🤔kwan ashawai kuwa mnene kuliko wema....?Diet gani ya ajabu vile? Amekongoroka hadi huruma, hadi Wema kamzidi unene 😂
Wema wa sasa.🤔🤔🤔kwan ashawai kuwa mnene kuliko wema....?
Me nazan kwa kuwa hajawai mzidi wema kwa unene basi tufanye kwenye uzuri, now cellin kawa kama fuvu kazidiwa uzuri hata na wemaWema wa sasa.
Tz sweetheart aliyejikausha
Katoboa siri 😂😂😂Ukweli ni kwamba wale watu walinijaza upepo hadi nikapiga pafu mbili pale ile wine..
Nasema uongo ISO M.CodD?
Ila nilidhamiria tu mwenyewe kuonja.
😪😪😪habari za vtisho hz tunatumiwaHabari, Tunakufahamisha kutakuwa na mabadilikokatika vifurushi vyetu tarehe 16/08/21. Endelea kufurahia huduma bora kutoka Vodacom. Vigezo kuzingatiwa
Sio vivulana na visichama vpo vya kutoshaHumu ni vivulana tu duu wanaume wapo jukwaa lipi
Kuna wamama hapa... Kijana kuwa na heshima 😂Sio vivulana na visichama vpo vya kutosha
Kweli mwanamke ni matunzo....