[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Naona kimbunga Kenneth kimehamia humu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Aisee kimbunga kikali Sana...bomu limelipuka,kisije kunizoa Mimi walahi na hizi kilo zangu mbili..wacha niondoke Mimi.
Mshana Jr Kaka nilikwambia usipulize Tena dawa nimeshika wingu[emoji1787][emoji1787]
Unaona Sasa ulivyo changanya mambo huku[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Naenda tatu kavu kushika wingu.
Bye
😳😳😳😳Aisee,unataka kuwatapeli tena kama mwaka jana
Kwani huna habari?[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]
Ya kweli haya?!
Sifahamu hiliKwani huna habari?
Tena we ndio unyamazeWekeni basi hizo picha jamani
We si nilikutag yangu jana sijui juzi hukuiona?!Tena we ndio unyamaze
Mnakazi ya kutuvuna tu hapa
Muongo, mbona sijaona notification?We si nilikutag yangu jana sijui juzi hukuiona?!
Mpigaji huyo kuwa naye makiniSifahamu hili
Mbona Nyigu aliiona na akakomenti kabisaMuongo, mbona sijaona notification?
Iangalie unitag upya
Daah.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]we mtoto tema mate chini niwe mke wa huyo nimemkosea nini muumba mie??[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]nitue kabisa mtoto wa mwanamke mwenzio!!
Alishakupiga?Mpigaji huyo kuwa naye makini
Saint anne eti nyigu 😀😀 emu nitag nikaoneMbona Nyigu aliiona na akakomenti kabisa
Nyigu kweli huyo😆😆Saint anne eti nyigu 😀😀 emu nitag nikaone
Ahahaa mafurushi ngoja wakuje na mapovu yaoJamaani guyz, naombeni popote pale mlipo tusimame na tufumbe macho tuwaombee toba wale mafurushi wote waliodai JF haina watoto wakali..!!
Yaan ana mbwembweHizi mbwembwe zinatuhusu???
nadhani ungemwambilia pm tu
Hahahaha ebu endelea kusifia bwanaHahaha basi nimeacha leo umenimaliza mudi yote ya kusifia aisee
Yaan ana mbwembwe
Ndio ndioSomo limeeleweka.
Na somo lenyewe ni kila mtu aishi maisha yake bila kuingilia Uhuru wa mwenzake.
Hata kama mimi ni mbaya sio sababu ya wewe kunisimanga.
Hata kama sina kazi nashinda jf, kama sijakuomba hela hauna sababu ya kunisimanga.
Kama najiuza pia hauna haki ya kunisimanga.
Kama nafake maisha ndio kabisaaa hauna haki ya kunisimanga ukitaka na wewe fake.
Melo hakukosea kuita jf ni jukwaa huru. Sio watu wengine wanataka tuishi kwa kuwalamba miguu kisa unahisi anapicha yako ataipost. Hiyo haipo tena.
Asanteni sana jeshi la wanawake mliojitolea kutokomeza hii tabia.
Kwa kweli nimekataaAkikataa nitajua la kufanya[emoji43]
Hahhhaha kwani wewe siwezi kukudanganyawadanganye wengine wewe