Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

!!
20210807_205825.jpg
 
Something like amarula Kwa glass?
Kweli Hornet ndiyo wa kunywa ile lite moja nayoiona?

Gland malt inaleta nzi mezani...

Me nimestop vilevi until further notice
Ah dadeq
Dogo inabidi upewe ukatibu wenezi wa uchambuzi wa vileo
Yaani unatambua kinywaji kwa kuangalia glass tu.

Dah ,kwahiyo Grand malt inaleta nzi
Je ningeagiza fanta orange,si ndio ningehamishia majeshi ya nzi mezani
 
Hahaha
Hivi unapata wapi guts za kuniuta dogo? We mtoto wewe 😂

Ina maana we nikiweka fanta orange kwa glass hutoitambua? Fantaa? Hata mimi mtumishi mdogo hukai nami 😂
Ah dadeq
Dogo inabidi upewe ukatibu wenezi wa uchambuzi wa vileo
Yaani unatambua kinywaji kwa kuangalia glass tu.

Dah ,kwahiyo Grant malt inaleta nzi
Je ningeahiza fanta orange,si ndio ningehamishia majeshi ya nzi mezani
 
Back
Top Bottom