Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Hahaha
Hivi unapata wapi guts za kuniuta dogo? We mtoto wewe [emoji23]

Ina maana we nikiweka fanta orange kwa glass hutoitambua? Fantaa? Hata mimi mtumishi mdogo hukai nami [emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Aiseeee yaani mtu una detect vinywaji kwenye glass[emoji119][emoji119][emoji119][emoji38][emoji38][emoji38]
Nimecheka sana

Ila kweli,hata mimi hakuna soda siijui[emoji23],
Nikiiona tu kwenye glass najua hii ni mirinda,hii ni fanta,hii ni passion,hii spar letta.
 
Gasping....

IMG_6010.jpg
 
Back
Top Bottom