Bwana Yesu alipoingia katika mji ule aliomba chumvi na kuimwaga katika mto wa mji ule na akasema tangu sasa hakutakuwa na kuzaa mapooza tena Mapooza ni kitu gani? Kwanini maji? Ya mto? Kwanini chumvi? Mapooza linatokana na neno kupooza! Ni kiambishi cha kupooza... Yani uhai upo lakini ni...