Selfika na JF: Snap it. Show it

Na mudu toboa international siiishii Local,

Kula bata bitch kama sita siishii Coco,

Ma saa 6 nipo studio siishiwi vocal,

Ma ngosha kwa Rap game ndiyo tunalimudu soko,



Soon natupia cover ya nyimbo yangu humu inaitwa na MUDU nahitaji support yenu

[emoji16]
 
Safi kabisa
 
Ukapita bila kuchungulia pale? Nilipitapo juzi kati kwa mguu nikachekaa rohoni 🤣🤣
Next weekend nitakuwa ununio beach
Nilipita hapa jana jioni! Niko ununio sasa hivi. [emoji23]
Machakani hadi ununio ni chocho kwa chocho imooo 😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…