B R A C E L E T
JF-Expert Member
- Nov 11, 2018
- 2,358
- 4,413
Du ! Pole.....!Habarini za asubuhi wapendwa
Akhsanteni sana kwa pole na maombi yenu wapendwa
Nashukuru MUNGU naendelea vizuri
View attachment 1848213
Quick recovery.
Du ! Pole.....!Habarini za asubuhi wapendwa
Akhsanteni sana kwa pole na maombi yenu wapendwa
Nashukuru MUNGU naendelea vizuri
View attachment 1848213
Yeah kwema.
Vizuri sana kama ni kwemaYeah kwema.
[emoji23][emoji23]Mmmmmmmmmh
Hii movie ninayo for months now lakini naona uvivu kuiangalia.
Ni nzuri sana, wakati fulani chuo kilipokuwa kigumu ilinifariji sana.Hii movie ninayo for months now lakini naona uvivu kuiangalia.
Maumivu ya hivi vidonda/majeraha siwezi kulinganisha na maumivu ya mapenzi[emoji23][emoji23]
Vipi maumivu ya vidonda yapoje kwa sasa??
Kuna watu huwa wanasema mapenzi yanauma,hawavijui tu vidonda [emoji1787].
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Maumivu ya hivi vidonda/majeraha siwezi kulinganisha na maumivu ya mapenzi
Vidonda vinauma wewe acha kabisa Saint Anne
Maumivu ya mapenzi ni maumivu ya kujitakia halafu yanauma vile unavyoyaka wewe yaume ila maumivu ya vidonda yanauma yanavyotaka yenyewe yaume
Maumivu yamepungua kwa sasa nayasikia kwa mbali
Nawaambia wapate ajali wavunjike miguu/mguu/mikono/mkono au wapate majeraha makubwa yawaume sana[emoji3][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Unawaambia nini wanaosema maumivu ya mapenzi yanauma zaidi??
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Nawaambia wapate ajali wavunjike miguu/mguu/mikono/mkono au wapate majeraha makubwa yawaume sana[emoji3]
Sawa nipo tayari unipeleke kanisani nikaombewe niokoke[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ukitoka hapo ukapona inabidi nikupeleke kanisani uokoke mazima[emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Pole Sana.Maumivu ya hivi vidonda/majeraha siwezi kulinganisha na maumivu ya mapenzi
Vidonda vinauma wewe acha kabisa Saint Anne
Maumivu ya mapenzi ni maumivu ya kujitakia halafu yanauma vile unavyoyaka wewe yaume ila maumivu ya vidonda yanauma yanavyotaka yenyewe yaume
Maumivu yamepungua kwa sasa nayasikia kwa mbali
DepalPole Sana.
Nipo hapa...
Habari za asubuhi mkuuNipo hapa...
Salama, umeamkaje?Habari za asubuhi mkuu
Vizuri sana kama ni salamaSalama, umeamkaje?