Bado kidogo tuone picha jipangae tukwambie ukweli tu unatuma 3 ukiwa umesimama upange kulia, kushoto, na uliyogeukaTungoje
Maana dk 90 zimeisha

🤸♂🤸♂🤸♂Mgiriki anazidi kulewesha
Nimelihifadhi dimpoz
Hahaha kaa hapo hapoBado kidogo tuone picha jipangae tukwambie ukweli tu unatuma 3 ukiwa umesimama upange kulia, kushoto, na uliyogeuka![]()
Hahahaha gudi ideaTuweke na kijiwe kabisaa Depal unatumia kinywaji gan tukuwekee wakati unaapitia Gallery 😁
Litakutisha usiku 'ndotoniNimelihifadhi dimpoz
Au tutume mjumbe PM aje akusaidie kuchagua🤸♂😆😆😆😆
Kama sio ivyo bora usitume tuHahaha kaa hapo hapo

Hahahaha kumbeNimelihifadhi dimpoz
Napenda kutishika mbona usijariLitakutisha usiku 'ndotoni
Sishabikii kokoteSaint Anne naona like zako Hadi naogopa kulikoni England na Italy uko wapi wewe?
.
Afu kutishika usiku kunaongeza siku za kuishi.. Nilisoma sehemu hiiNapenda kutishika mbona usijari
Naona upo na mahubiri tu mtumishi tuombee England basi sawa mkuuSishabikii kokote.
Kutoa likes kwangu ni jambo la kawaida,usiogope.
Sent using Jamii Forums mobile app
MtakatifuSishabikii kokote.
Kutoa likes kwangu ni jambo la kawaida,usiogope.
Sent using Jamii Forums mobile app
Amen Amen.Hakika
Kweli Kuna mambo bado sijamfanyia Mungu...ni lazima niyafanye hayo Kwanza kabla sijaondoka.
Ngoja nijaribu kujikaza..
Sema na ulast born unachangia,aliyebaki analialia ni mimi tu.
.
.
.
Baba Mtumishi umeamua kunipoza kwa maneno ili usinipe picha..
Sasa utaweka lini jamani!
Neema ya kuona ipo leo ujue.
)
Trailer la Trailer
Lakini ukitishwa na mwanamkeAfu kutishika usiku kunaongeza siku za kuishi.. Nilisoma sehemu hii