Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Dah, Yaani ingekuwa inawezekana ningemshawishi tu Mungu afinalize mambo yaishe.

Amen
Namuamini sana Mungu,ila wacha niugulie haya maumivu hadi yatakapopoa.

Mtumishi si unajua kama kifo huja kama mwivi??
What if nikachomoka hapa,sijaona picha,,,nyumba unayoweka rehani sitaifaidi.

Hebu fanya kuhurumia tumbo langu Mtumishi,limengoja mno.
Pls baba Mtumishi
Nakuelewa vizuri kabisa mtumishi mwenzangu.

Lakini usiwaze tena hivyo (najua sio rahisi)

Bado kuna mengi unatakiwa kuya accomplish hapa duniani. Mungu alikuleta kwa kusudi.

Huu ndo wakati muafaka kabisa kumuomba akuwezeshe kufikia makusudi yake kwako.

___________________________

Kama nilivyokufahamisha, Mungu hataruhu uenda kabla sijakuona mtumishi mwenzangu.

Likewise, hutatwaliwa kabla hujaniona.

Katika hili nina uhakika sana, Mungu ni mwaminifu sana kwenye ahadi zake.

Stay strong, healthy and prosperous mama mtumishi
 
Hakika
Kweli Kuna mambo bado sijamfanyia Mungu...ni lazima niyafanye hayo Kwanza kabla sijaondoka.

Ngoja nijaribu kujikaza..
Sema na ulast born unachangia,aliyebaki analialia ni mimi tu.

.
.
.
Baba Mtumishi umeamua kunipoza kwa maneno ili usinipe picha..
Sasa utaweka lini jamani!
Neema ya kuona ipo leo ujue.
 
Back
Top Bottom