Unajua nini mtakatifu...najua inauma mno mno na machungu ya kumpoteza mzazi hasa ikiwa kama ulikuwa ukimtegemea.Watu na miguu yenu[emoji176].
Kwa jinsi nilivyo sasahivi,,huu mguu ni sawa na paja langu.
Naelewa.sasa fanya yafuatayoWenge nililonalo linataka kuniua[emoji174]
Dunia imekuwaje sijui,hadi natamani hata iishie leo Yesu arudi tu.
Amen akhsante dada yangu[emoji120][emoji176][emoji176][emoji176]Unajua nini mtakatifu...najua inauma mno mno na machungu ya kumpoteza mzazi hasa ikiwa kama ulikuwa ukimtegemea.
Jikaze!muombe Mungu amani ya moyoni..najua katika hali ya kibinadamu ni ngumu.muombe Mungu atakusaidia.usilalamike wala kunung’unika muombee pumziko la milele..kifo hakizoeleki.. muda sahihi utafika utajikuta hata huu muda unaowaza mwisho wa dunia ufike Yesu aje kukunyakua hautakuwepo.
Mshukuru Mungu kwa kila kitu.
Mwanga wa milele umwangazie baba yetu aendelee kupumzika kwa amani.
Yaani ninavyoongea hapa,nyumbani nilishaondoka kitambo.Naelewa.sasa fanya yafuatayo
Fanya kama ulivokuwa wafanya week chache ukimaliza 40 jitahidi upate tour hasa sehem za wanyama na bahari .
Sahau/usicheki picha za baba kwa sasa.
Usikumbuke sauti yake kwa sasa kwanza.
Jitahidi Sana kufanya mazoezi walau weekend jiunge na wale jogging.
Watu kwa kujisavia hamjambo ila hongera umeiwahi [emoji23]
Pole sanaaaMimi nimeiona sekunde anaipost.
Yaani ni kama naachwa na gari nipo stand[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Inakujagaaa. Mwaka juzi humu nilipataga 10k na perfume juuMimi niliwahi kupata mwakajana[emoji4]
Wanasemaga bahati haiji Mara 2.
Weee[emoji847]Inakujagaaa. Mwaka juzi humu nilipataga 10k na perfume juu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Pole sanaaa
Hiki nini?Uliyepo msalato tupeane lokeshooView attachment 1848497
.....Yebooo 🧚♀️🧚♀️🧚♀️View attachment 1849638
Code ya...?
✋Uliyepo msalato tupeane lokeshooView attachment 1848497
Hakika[emoji120][emoji120][emoji120]Aunt Subaru jitahidi kujikaza Pls.