Selfika na JF: Snap it. Show it

Mjep ubarikiwe na Bwana, ukaongezeke na kustawi sana. Nilikuwa naingia kwenye kikao, ghafla naona ndiyo umetuma vocha, nikaingiza fasta, huyo nikazama mkutanoni. Thank youuuu
Uko fasta[emoji23]
Tena kimyakimya [emoji23][emoji23]

Ilikuwa nizipate mimi,basi tu ni vile situmii huo mtandao..tangu zinatumwa naziona.

Mungu azidi kumbariki brother Mjep[emoji120].
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…