Siku ya kusafisha vidonda nililia kilio kikuu utadhani nimeangikwa msalabani kama Yesu.
Niliapa nitakuja kusaidia wale wote watakaopata maswahibu kama yaliyonikuta.
Ni miaka imepita sasa,
Ila vidonda vinauma aiseeee,tena vya ajali
maana havina mpangilio ,vinahakikisha haulali usingizi kabisa
..kuna muda vinapambana kuuma ili mradi tu ulie
Mimi namuelewa sana,
Kuna muda vitamuuma hadi anaweza pata wasiwasi,lakini atapona hataamini, mwenyewe atashangaa.