T 1990 ELY
JF-Expert Member
- Sep 7, 2014
- 12,931
- 30,082
Je,ndani kutakuwaje?Ukisikia wanaume tunaanza kuitwa dhaifu ni hapaa, imagine hapo ni njee?!
Nimewaza tuu
Nimewaza tu........
Je,ndani kutakuwaje?Ukisikia wanaume tunaanza kuitwa dhaifu ni hapaa, imagine hapo ni njee?!
Nimewaza tuu
Kutakuwa kutamu sana kama embe dodo.Je,ndani kutakuwaje?
Nimewaza tu........
Hahhaha eka du nisheke
Safi ely jamani za wewe uko ulipo
Vizuri sana kama ni safiSafi ely jamani za wewe uko ulipo
Mamia kabisa, tuanzishe na shule ya familia.Karibu nyumbani shemela, hope utatuzalia makumi ya kutosha![]()







Daaah tukio 1 la kihistoria kwa kweli.



Plz naomba uwage unapost zile Jeep, mie moyo wangu usuuzike.
Unazipenda Jeep eh?Plz naomba uwage unapost zile Jeep, mie moyo wangu usuuzike.
Hii ndo mboga ya maziwa? Ambayo unapika unachanganya na mafuta ya alizeti