Sijambo mie.Hujambo mkuu
Inategemea na uwezo wa muoaji, [emoji23][emoji23][emoji23]Ng'ombe utapata lakini ujiandae kutuzalia watoto 8+ [emoji23]
Kwanini nisiweke dhamana ya mkopo bank? [emoji7][emoji7][emoji7][emoji151]View attachment 1812748
Hivi dear, hiki kiatu ndiyo kile nilikuagizia kutoka Italy??
Kule wenzio wanakula vyakula vya asili, ndiyo maana kwa nguvu zao Mke mmoja hatoshelezi.Inategemea na uwezo wa muoaji, [emoji23][emoji23][emoji23]
Hata kwetu pia vyakula vya asili tyuuh, so tutawezana.[emoji23][emoji23]Kule wenzio wanakula vyakula vya asili, ndiyo maana kwa nguvu zao Mke mmoja hatoshelezi.
Sijui kama utahimili mwendo [emoji3][emoji3][emoji1322]
😲😲Noma, mboga gan hyo