hakuna kitu na tafuti yakoUtafiti wangu uko murua yaan mukideeh.
Sasa wee ni mzee? Na nani kakuambia mwanaume akivaa nguo imebana ni kijana au sio gentleman?Mwanaume gentleman asivaa cadet atapendezaje! Ntavaaje nguo imebana kama kijana.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Dunia imechange sana now day adi waganga wanajipigilia raba
Weed eater unaitumia sehemu ambayo lawnmower imeshindwa kufika mf. Kwenye fence, kingo za nyumba, karibu na maua, nguzo n.k.Hiyo edger ndio ushamba jinsi ya kutumia.umeyakata vizuri sana. Hiyo weed eater inajuaje kama hii ni weed au sio weed..usije kuta ikakula majani yenyewe maana
Babu mwenye mjukuu wake😄😄😄Secret to survive is knowing what to throw away and what to keep, because every hand is a winner and every hand is a looser, the best you can hope for is to die in your sleep"
Sent using Jamii Forums mobile app
Na uzuri ukishanunua basi utakaa navyo miaka na miaka. Kama hiyo lawnmower ni kunoa tu mapanga huko chini na kubadilisha oil mara moja moja basi.
best you can hope for is to die in your sleep"Babu mwenye mjukuu wake
Na uzuri ukishanunua basi utakaa navyo miaka na miaka. Kama hiyo lawnmower ni kunoa tu mapanga huko chini na kubadilisha oil mara moja moja basi.
Niseme kweli kaniacha mbali sana.. Na si ajabu kutumia Bible kwakuwa uchawi una hatua tatuMshana Jr, hebu ona huyu mchawi mwenzio kutoka Kenya. Anakuzidi au we ndo unamzidi?
View attachment 1803702
Hivi mshana kama mtu wako wa karibu anakuroga utajuaje?kuna dalili zozote anaeza kudisplay?Niseme kweli kaniacha mbali sana.. Na si ajabu kutumia Bible kwakuwa uchawi una hatua tatu
1.vitendea kazi
2. Mchoro wa mchawi
3. Ruhusa ya Mungu
And so in this twilight and evening of the world, when sin is flourishing on every side and in every place, when charity is growing cold, the evil of witches and their iniquities superabound...!
Sent using Jamii Forums mobile app
Hawezi kukuangalia usoni mkiangaliana... Lakini atakuwa ni mtu wa kujistukia stukia sanaHivi mshana kama mtu wako wa karibu anakuroga utajuaje?kuna dalili zozote anaeza kudisplay?
😂Wacha we! Skills Man, SkillsWeed eater unaitumia sehemu ambayo lawnmower imeshindwa kufika mf. Kwenye fence, kingo za nyumba, karibu na maua, nguzo n.k.
Edger kazi yake ni kusawazisha tu huko pembeni ili lawn iwe manicured vizuri. Kina matairi yake yanayokuongoza na wewe kazi yako ni kusukuma mbele tu. Yard yangu yaani haina tofauti na majirani walioajiri professionals tena wengine nawazidi
Unaamini katika haya mambo binti? Yana ukweli wo wote?Hello team Gemini
View attachment 1804383