Fridays are good for mowing the lawn and pampering the yard. Good exercise too
View attachment 1800937View attachment 1800938
Tuko pamoja naye katika kipindi hiki kigumuWapendwa wana selfika, mwenzetu Saint Anne, amefiwa na baba yake leo. Ninaomba tu kila mmoja wetu kwa Imani yake; amuweke Anne na familia nzima kwenye maombi. Mungu akawafariji, akawatie nguvu na kuwavusha salama katika kipindi hiki kigumu sana na chenye majonzi kwao. BWANA Alitoa, na BWANA Ametwaa, Jina la BWANA na libarikiwe.
C.c Karma Mshana Jr billdrago Gerald incredible [USER=157962]Espy Chakorii Makiseo Eli79 T 1990 ELY cocastic SHIMBA YA BUYENZE @Jojoline mshipa Chick Magnet mkwepu jr sawima BIN NUN donlucchese Roger Sterling Depal financial services Doon moudgulf Bujibuji Emmanuel Kasomi usser The Monk Behaviourist Nuzulati Mjep Shunie
(Mentions zinaendelea)
Wapendwa wana selfika, mwenzetu Saint Anne, amefiwa na baba yake leo. Ninaomba tu kila mmoja wetu kwa Imani yake; amuweke Anne na familia nzima kwenye maombi. Mungu akawafariji, akawatie nguvu na kuwavusha salama katika kipindi hiki kigumu sana na chenye majonzi kwao. BWANA Alitoa, na BWANA Ametwaa, Jina la BWANA na libarikiwe.
C.c Karma Mshana Jr billdrago Gerald incredible [USER=157962]Espy Chakorii Makiseo Eli79 T 1990 ELY cocastic SHIMBA YA BUYENZE @Jojoline mshipa Chick Magnet mkwepu jr sawima BIN NUN donlucchese Roger Sterling Depal financial services Doon moudgulf Bujibuji Emmanuel Kasomi usser The Monk Behaviourist Nuzulati Mjep Shunie
(Mentions zinaendelea)
Pole sana kwake Saint AnneWapendwa wana selfika, mwenzetu Saint Anne, amefiwa na baba yake leo. Ninaomba tu kila mmoja wetu kwa Imani yake; amuweke Anne na familia nzima kwenye maombi. Mungu akawafariji, akawatie nguvu na kuwavusha salama katika kipindi hiki kigumu sana na chenye majonzi kwao. BWANA Alitoa, na BWANA Ametwaa, Jina la BWANA na libarikiwe.
C.c Karma Mshana Jr billdrago Gerald incredible [USER=157962]Espy Chakorii Makiseo Eli79 T 1990 ELY cocastic SHIMBA YA BUYENZE @Jojoline mshipa Chick Magnet mkwepu jr sawima BIN NUN donlucchese Roger Sterling Depal financial services Doon moudgulf Bujibuji Emmanuel Kasomi usser The Monk Behaviourist Nuzulati Mjep Shunie
(Mentions zinaendelea)
Mtoto yupi huyo tena? Jaman awe na amani tyuuh mbona,Mungu anakuona unafanya mtoto wa mwenzio aishi kwa woga.
Sasa unanfanyia utafiti hapa si Bora uniite tu unifanyia tukiwa wawili tu.Mtoto yupi huyo tena? Jaman awe na amani tyuuh mbona,
Ooooh JAH awape wafiwa wote faraja na uvumilivu mkubwa wa kuweza kupambana na kipindi hiki kigumu kwao cha kuondokewa na mpendwa wao,Wapendwa wana selfika, mwenzetu Saint Anne, amefiwa na baba yake leo. Ninaomba tu kila mmoja wetu kwa Imani yake; amuweke Anne na familia nzima kwenye maombi. Mungu akawafariji, akawatie nguvu na kuwavusha salama katika kipindi hiki kigumu sana na chenye majonzi kwao. BWANA Alitoa, na BWANA Ametwaa, Jina la BWANA na libarikiwe.
C.c Karma Mshana Jr billdrago Gerald incredible [USER=157962]Espy Chakorii Makiseo Eli79 T 1990 ELY cocastic SHIMBA YA BUYENZE @Jojoline mshipa Chick Magnet mkwepu jr sawima BIN NUN donlucchese Roger Sterling Depal financial services Doon moudgulf Bujibuji Emmanuel Kasomi usser The Monk Behaviourist Nuzulati Mjep Shunie
(Mentions zinaendelea)
Heheheheh hallow, mie nikufanyie tukiwa wawili sitakua huru,Sasa unanfanyia utafiti hapa si Bora uniite tu unifanyia tukiwa wawili tu.
Hapa ushafanya nisitupie picha Tena
Ona sasa.haya siweki picha tena.Heheheheh hallow, mie nikufanyie tukiwa wawili sitakua huru,
Hapa hapa panatosha.
aisee pole sana kwake....Mungu amlaze baba mahali pema peponiWapendwa wana selfika, mwenzetu Saint Anne, amefiwa na baba yake leo. Ninaomba tu kila mmoja wetu kwa Imani yake; amuweke Anne na familia nzima kwenye maombi. Mungu akawafariji, akawatie nguvu na kuwavusha salama katika kipindi hiki kigumu sana na chenye majonzi kwao. BWANA Alitoa, na BWANA Ametwaa, Jina la BWANA na libarikiwe.
C.c Karma Mshana Jr billdrago Gerald incredible [USER=157962]Espy Chakorii Makiseo Eli79 T 1990 ELY cocastic SHIMBA YA BUYENZE @Jojoline mshipa Chick Magnet mkwepu jr sawima BIN NUN donlucchese Roger Sterling Depal financial services Doon moudgulf Bujibuji Emmanuel Kasomi usser The Monk Behaviourist Nuzulati Mjep Shunie
(Mentions zinaendelea)
Limepokelewa hiliPole sana kwake Saint Anne
Huyu mkuu amekua mdau mzuri sana kwenye uzi wetu huu na nyuzi nyingine pendwa pamoja na salamu za pole yunzotoa napendekeza tufanye chochote kinachowezekana kumfariji
Nashauri Heaven Sent au mkuu Mshana Jr mtusaidie kuli organise hili kama itawapendeza
Pole sana kwake Saint Anne
Huyu mkuu amekua mdau mzuri sana kwenye uzi wetu huu na nyuzi nyingine pendwa pamoja na salamu za pole yunzotoa napendekeza tufanye chochote kinachowezekana kumfariji
Nashauri Heaven Sent au mkuu Mshana Jr mtusaidie kuli organise hili kama itawapendeza
Aisee, pole yake na kwa familia yake yote, Mungu amtie nguvu katika kipindi hiki kigumu..hakika sisi sote njia yetu moja.Wapendwa wana selfika, mwenzetu Saint Anne, amefiwa na baba yake leo. Ninaomba tu kila mmoja wetu kwa Imani yake; amuweke Anne na familia nzima kwenye maombi. Mungu akawafariji, akawatie nguvu na kuwavusha salama katika kipindi hiki kigumu sana na chenye majonzi kwao. BWANA Alitoa, na BWANA Ametwaa, Jina la BWANA na libarikiwe.
C.c Karma Mshana Jr billdrago Gerald incredible [USER=157962]Espy Chakorii Makiseo Eli79 T 1990 ELY cocastic SHIMBA YA BUYENZE @Jojoline mshipa Chick Magnet mkwepu jr sawima BIN NUN donlucchese Roger Sterling Depal financial services Doon moudgulf Bujibuji Emmanuel Kasomi usser The Monk Behaviourist Nuzulati Mjep Shunie
(Mentions zinaendelea)
Pole sana Anne jamani Mungu amtie nguvu sana yeye pamoja na familia yakeWapendwa wana selfika, mwenzetu Saint Anne, amefiwa na baba yake leo. Ninaomba tu kila mmoja wetu kwa Imani yake; amuweke Anne na familia nzima kwenye maombi. Mungu akawafariji, akawatie nguvu na kuwavusha salama katika kipindi hiki kigumu sana na chenye majonzi kwao. BWANA Alitoa, na BWANA Ametwaa, Jina la BWANA na libarikiwe.
C.c Karma Mshana Jr billdrago Gerald incredible [USER=157962]Espy Chakorii Makiseo Eli79 T 1990 ELY cocastic SHIMBA YA BUYENZE @Jojoline mshipa Chick Magnet mkwepu jr sawima BIN NUN donlucchese Roger Sterling Depal financial services Doon moudgulf Bujibuji Emmanuel Kasomi usser The Monk Behaviourist Nuzulati Mjep Shunie
(Mentions zinaendelea)
Hebu weka bas na wee lol, sema uachage kuvaa cadet inayopwaya kidogo, inatakiwa ibane baneOna sasa.haya siweki picha tena.
Ooh! Habari za hovyo kabisa hizi...Wapendwa wana selfika, mwenzetu Saint Anne, amefiwa na baba yake leo. Ninaomba tu kila mmoja wetu kwa Imani yake; amuweke Anne na familia nzima kwenye maombi. Mungu akawafariji, akawatie nguvu na kuwavusha salama katika kipindi hiki kigumu sana na chenye majonzi kwao. BWANA Alitoa, na BWANA Ametwaa, Jina la BWANA na libarikiwe.
C.c Karma Mshana Jr billdrago Gerald incredible [USER=157962]Espy Chakorii Makiseo Eli79 T 1990 ELY cocastic SHIMBA YA BUYENZE @Jojoline mshipa Chick Magnet mkwepu jr sawima BIN NUN donlucchese Roger Sterling Depal financial services Doon moudgulf Bujibuji Emmanuel Kasomi usser The Monk Behaviourist Nuzulati Mjep Shunie
(Mentions zinaendelea)
Ok sawa ngoja nifanye hivyo .. Nitapost kule mchanganyikoOoh! Habari za hovyo kabisa hizi...
Kama binadamu hatuna la kufanya isipokuwa kumuombea marehemu pumziko jema na lenye heri. Na kwa wapendwa walioachwa; hebu Roho Mtakatifu Ajulikanaye pia kama Mfariji Mkuu Akawapoze mioyo yao na kuwapa faraja na matumaini katika kipindi hiki chenye giza na maumivu makali.
Na kwenu Heaven Sent na/au Mshana Jr. Saint Anne ni memba mwenye mahusiano mema na watu wengi; na anajulikana sana hapa. Anzisheni uzi kamili wenye taarifa hii ili habari hizi ziweze kuwafikia watu wengi. Na cha muhimu zaidi, toeni mwongozo wa jinsi ya kutoa rambirambi ili tunaoweza kufanya hivyo tufanye hivyo mara moja.
Asanteni
Ooh pole kwake na kwa familia yote.
Mungu awe nae na kuwepo mkakati wa namna ya kumsaidia mwenzetu.
Lakin madame vizuri upost kama uzi wa kipekee ili iwe wepesi watu kujua
Nilishindwa kuanzisha uzi kwa sababu zilizokuwa nje ya uwezo wangu. At last nimefanikiwa kuwasiliana naye so tunaweza kuendelea na mengineyo.Ooh! Habari za hovyo kabisa hizi...
Kama binadamu hatuna la kufanya isipokuwa kumuombea marehemu pumziko jema na lenye heri. Na kwa wapendwa walioachwa; hebu Roho Mtakatifu Ajulikanaye pia kama Mfariji Mkuu Akawapoze mioyo yao na kuwapa faraja na matumaini katika kipindi hiki chenye giza na maumivu makali.
Na kwenu Heaven Sent na/au Mshana Jr. Saint Anne ni memba mwenye mahusiano mema na watu wengi; na anajulikana sana hapa. Anzisheni uzi kamili wenye taarifa hii ili habari hizi ziweze kuwafikia watu wengi. Na cha muhimu zaidi, toeni mwongozo wa jinsi ya kutoa rambirambi ili tunaoweza kufanya hivyo tufanye hivyo mara moja.
Asanteni na poleni