[emoji44][emoji44][emoji44][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji86][emoji86][emoji86][emoji86][emoji86]Tahadhari :
Sasa ole wako wewe mke wangu wa tatu utume humu picha,yaani hata ukiweka kucha tu ya kidole gumba,nitajua lazima nitakuanika tu.
Maana hiki kilevi chenu cha "Kupenda kusifiwa" kinawazidi nguvu,yaani mnatuma tu mapicha.
[emoji28][emoji28][emoji28] anayo ID nyingine.msije mfanya aone jf chungu [emoji23] [emoji23]
EwaaaaaahAsante Wazee wa ku zoom samples za vidole tunasema umekamilika kila idara.
Ndiwo.kwanini?Ukila unashibaga?
Dark angelHii ni huyo dada mnaemchambua kamakaranga (pisi ya jamaa mwenye jina gum) au ndio malaika wetu yule black beauty.
[emoji178]Mashallah [emoji7][emoji7]
Sijashinda bado?Dah... [emoji39][emoji39][emoji39]lipo
Jinsi mlivyomchamba[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]ninyamaze nini tena mbona jana sikusumbua kabisa.
Dar moko hiyo... Break ya kwanza kigamboni.. Bata mapemaaaaaView attachment 1223237
[emoji178][emoji178]Haya vimbau wote tunawatakia asubuhi na weekend njema
Yule anaweza kujaribu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Unajua kujitetea [emoji28][emoji28].
Weee Depal akishindana na mimi ya kugeuka ajiandae kushindwa.
Kama ya kwako.[emoji178][emoji178][emoji178]Kiuno nyigu... una shape nzuri mno mno mno
Acha mkwaraTahadhari :
Sasa ole wako wewe mke wangu wa tatu utume humu picha,yaani hata ukiweka kucha tu ya kidole gumba,nitajua lazima nitakuanika tu.
Maana hiki kilevi chenu cha "Kupenda kusifiwa" kinawazidi nguvu,yaani mnatuma tu mapicha.
Kwahiyo wake zako wote wanaruhusiwa kutuma picha zao humu isipokuwa huyo wa tatu??Tahadhari :
Sasa ole wako wewe mke wangu wa tatu utume humu picha,yaani hata ukiweka kucha tu ya kidole gumba,nitajua lazima nitakuanika tu.
Maana hiki kilevi chenu cha "Kupenda kusifiwa" kinawazidi nguvu,yaani mnatuma tu mapicha.
Sio wewe uliniambia Siku hizi nimekuwa mpole hadi natia huruma?Jinsi mlivyomchamba[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Haki ya Nani nilitaka kuzimia kwa kicheko
Haya hayaishi kirahisi. Nabakiza na ya kesho[emoji28][emoji28]
insta babe nakusalimuuuuuMashallah [emoji7][emoji7]
Naona hakumjua vizuri the tiger in you aliona ukondoo wako wa nje tu[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]alivyoona umeacha kujiita dark angel akajua na udevil utakuwa umekwisha kabisa, kwamba sasa umekuwa Hannah Montana.[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Sio wewe uliniambia Siku hizi nimekuwa mpole hadi natia huruma?