Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,924
- 95,758
dooooh burudani aisee
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Simba ya siku hizi![emoji1][emoji1][emoji1]
View attachment 1794192
Licha ya kuandika na alama ya kiulizo umeshindwa kuona swali jamani, ila ningekuwa nimekuandikia 2,000 dollars Cheque hata usingeulizaπππKwahiyo hapo ndo umeuliza kitu siriazi π π
ππgraham..Licha ya kuandika na alama ya kiulizo umeshindwa kuona swali jamani, ila ningekuwa nimekuandikia 2,000 dollars Cheque hata usingeulizaπππ
Haya kesho tukutane Forodhani, nimekuletea pension yangu yote kwa ajili yako ππππ»ππ»
Huo ukijani mie napenda sana.
Yaan had mwili ume, sisimka
Fundi km fundi.
Nimeielewa kiukweli.
Guu la kuombea mkopo Bank. [emoji7][emoji7][emoji7]Tuache na ndala zetuView attachment 1793605
Aseeeeeeh, bas tyuuuh sina neno.
Na kwanini Tusikumiss pia kwa mfanoNimewamiss wallah[emoji179][emoji179][emoji177][emoji3059][emoji3059][emoji3589][emoji3589]
Ohoooooππππ₯°π₯°π₯°Na kwanini Tusikumiss pia kwa mfano
Fanya kazi kwa siku sita na siku ya saba ni ya Bwana..ni siku ya mapumziko...!!! kwako mkalimani[emoji1]Si njia rahisi
Ya kwenda mbinguni
Miiba ni mingi safarini
Vikwazo vipo tele
Lakini najua
Mwokozi Yu pamoja nami
[emoji444][emoji445][emoji444][emoji445][emoji444][emoji445][emoji444][emoji445][emoji444]
Ooooh Noo
Si njia rahisiΓ2
Kutembea na Yesu
Kuongoza Safari
Mazito huyarahisisha.
[emoji445][emoji444][emoji445][emoji444][emoji445][emoji444][emoji444][emoji444][emoji444]
Najipa moyo kwani
Mwokozi aweza
Kunishindia majaribu
Nashinda kwa Imani
Sababu ninaye
Mwokozi aliyenifia
[emoji444][emoji445][emoji444][emoji445][emoji444][emoji445][emoji444][emoji444][emoji445][emoji444][emoji445]
Sent using Jamii Forums mobile app
Duh[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Fanya kazi kwa siku sita na siku ya saba ni ya Bwana..ni siku ya mapumziko...!!! kwako mkalimani[emoji1]View attachment 1794891