My Sons Legacy
JF-Expert Member
- Feb 4, 2019
- 3,602
- 11,885
Hembu usifanye hivyo aiseee, unajua utafuatwa kweli PM kuonesh hiyo picha ambayo haina maajabu yoyote.Vyuma vimekaza[emoji23]
Akitokea mtu anataka kuona naonyesha kwa elfu 10 tu!
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23]Hembu usifanye hivyo aiseee, unajua utafuatwa kweli PM kuonesh hiyo picha ambayo haina maajabu yoyote.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
NdiyoUmeamua cc kutuburudisha kwa photos, woiiiiiiih
Rufaa paleee napaona
[emoji23][emoji23]
Pm imefungwa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]imefungwa kwa strangers tu,
Badala ya kutupia Selfie ya kupunguzia jua
Wewe unahangaika kuuza screenshot [emoji23][emoji23][emoji23]
geuzia camera upande wako tukuone ndo tuamini unazurura
Mitaa yangu hii
Hivi na sisi wanaume tunaruhusiwa kuwaomba wanaume wenzetu picha?Nkamu toka umenihaidi utatupia picha huku, umekua kama Masihi na mimi sichoki naisubiria[emoji3]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hivi na sisi wanaume tunaruhusiwa kuwaomba wanaume wenzetu picha?View attachment 1791660
Kwa sasa nipo nje ya huo mji ila mda mwingi nakuwa continental hapo
Ya bebi wako ninayo.Niitupie hapa?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ndiyo,muombe babe wangu picha yake.
Sent using Jamii Forums mobile app
Oh okee.Kwa sasa nipo nje ya huo mji ila mda mwingi nakuwa continental hapo