Fortnox
JF-Expert Member
- Jul 23, 2019
- 3,160
- 11,214
Yes draft kidogo kahawa na karangaMasaa ya kijiwen ndo haya
Yes draft kidogo kahawa na karangaMasaa ya kijiwen ndo haya
Yes draft kidogo kahawa na karanga

alaf ndo mpge songa vizur 

amna sina maana hiyo namaanisha ukaweka kambi hapa kupata mawili matatuIlimradi iwe picha siyo ?
mbona wacheka...Hahaaaaa
Kwa niaba ya watu wa Mbeya nasema akhsante kwa kushukuru.Watu wa Mbeya mpo!
Nawapenda sana kwa ukarimu wenu.
Nimeuona ukarimu wenu katika ubaya wangu..
Honestly speaking I am a bad guy as per social standards, lakn ubaya wangu uko proudly sponsored na ukarimu wa watu wa Mbeya.
Nikitoboa huu mwaka nitandaa zawadi maalumu na nzuri sana kwa ajili ya watu wa Mbeya.
I really love you guys so much.
Amen mchumba
Watu wa Mbeya mpo!

Yesu akuwezesheJamani nawapenda sana.
Panapo majaliwa nikimaliza project zangu za ubaya, nakuja Mbeya kuchungulia chochote kitu.
Angalau na mimi nituriege nijenge familia.

Bwana alitoa na Bwana ametwaa,jina la Bwana lihimodiwe.

Bwana alitoa na Bwana ametwaa,jina la Bwana lihimodiwe.
Pole kwa CNMS, ndugu jamaa na marafiki.
Wote Safari yetu ni moja japo kwa nyakati tofauti.
Tujitahidi Kuishi vyema na watu..
Siku moja mtu atatamani arudishe muda nyuma ili tu apate nafasi ya kuongea na mtu ,lakini haitawezekana tena tena kwa kuwa ameshakwenda.
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaaan mwanza n maskini kuliko huu mkoa