Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 77,819
- 233,246
Ukiwa na mzigo mkubwa ni tatizo..Nyie kumbe kweli, mimi sikuwahi kulifuatilia na kuvaa bra. Sasa wenye mizigo yetu na shimizi jamani mweeh.
Hivi na uzazi wa mpango hauruhusiwi? Jamani jamani kuna sehemu niliendaga nikamkuta huyo mama, ana watoto wengi, hawajapishana umri na anaendelea kufyatua kila inapowezekana. Ndiyo majirani wakawa wanateta eti hawaruhusiwi kutumia uzazi wa mpango
Lakini huwa yanakaa tu vizuri.
Uzazi wa mpango ni dhambi

Sent using Jamii Forums mobile app







