Eid Mubarak. Takaballallah mina waminkun [emoji178]View attachment 1784158
Thanks [emoji7]
[emoji23][emoji23][emoji23] hayo madirisha km shule fulan kongwe, afu vipaji maalumuVile nachungulia kwa jirani kama pilau la Idd limeiva ili nikadowee![emoji1][emoji1][emoji1]
View attachment 1784229
Mchuma wako huwa unanikosha sana, natamani 1 dai nikanyage mafuta hapo mbele kulia, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Halafu Kuna kitu nataka kukwambia.Searching a beer tripView attachment 1784279
[emoji23][emoji23][emoji23]Vile nachungulia kwa jirani kama pilau la Idd limeiva ili nikadowee![emoji1][emoji1][emoji1]
View attachment 1784229
Nambie mama lao
Kule mahindi yameshuka bei sana kama unataka kununua.Nambie mama lao
Ooh thanks kwa information jtatu utanipa full details niende kuchek na quality yake
OkeeOoh thanks kwa information jtatu utanipa full details niende kuchek na quality yake
Kila nikiweka hii picha yangu hata huwa hamnipi likes!😒😒😒
Acha kunikera jamani[emoji23][emoji23]Kila nikiweka hii picha yangu hata huwa hamnipi likes![emoji19][emoji19][emoji19]
View attachment 1784591
Nakukera wakati mimi ni bebi yake mtu!Mwenzako huku kafa kaoza.