Nigendako
JF-Expert Member
- Dec 1, 2017
- 23,296
- 122,440
MashaaAllahEid Mubarak. Takaballallah mina waminkunView attachment 1784158
MashaaAllahEid Mubarak. Takaballallah mina waminkunView attachment 1784158
Rangi ya Dubai hii Sheikh..In Sheikh Kipoozeo's voiceEid Mubarak. Takaballallah mina waminkunView attachment 1784158
Shukraan habibtyMashaaAllah
Ha haaaaa haaa.Rangi ya Dubai hii Sheikh..In Sheikh Kipoozeo's voice

Ha haaaaa haaa.
Hii rangi ipo sehem nyingi mkuu. Mie sijahusu hata uarabu![]()
Hadi sasa ubao wa kualikwa Eid unasoma bilabila 0-0
Kaka Mjep in maana haunioni jamani
Sent using Jamii Forums mobile app



aiseeeeehJana hapo Iringa nilirusha zawadi za Joyce dirishani,ulizidaka?
Niliwaambia wasimame ninunue japo mishkaki,wakakataa.
Sent using Jamii Forums mobile app





Yaani rafiki yangu acha tu
Hata mimi nilijua utashangaa,,Kwanza hata mimi nashangaa
.
Nikaona huku siko kabisa,hakuna amsha amsha kabisa aiseee
Eti Wana Restaurant tu!mimi huyu wa mishkaki ya miambilimbili ni wa kuingia Restaurant ?
Sent using Jamii Forums mobile app





Rafiki mboga ipo tayari karibu sana😄😄😄
Rangi ya mtumeeeeeeeh,Eid Mubarak. Takaballallah mina waminkunView attachment 1784158
Karbu habibatiShukraan habibty
Ahsanteeeeh rafiki.Rafiki mboga ipo tayari karibu sana![]()