Selfika na JF: Snap it. Show it

Kwanini wasipende? Wapare wako smart kwa kila kitu, sijutii kuwa na mpare, na km kuchepuka ntatafuta mpare, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wapare hoyeeeeeeeh.

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
Hii mbuzi kafia kwa muuza supu πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜‹πŸ˜‹πŸ˜‹ kweli mungu akitaka kukupa akuandikii barua
 
[emoji23][emoji23][emoji23] kubabeki wee kumbe jeuri na fedhuli kiasi hiki, kwamba ndiki ya machaguo, mwendo wa kutaja tyuuh huku game linapigika kwa aina yake. Hahahah

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
Game linapigwa kihadzabe hadzabe mwamuzi nyoka tu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ akikatiza tu shughuli imeisha!
 
Game linapigwa kihadzabe hadzabe mwamuzi nyoka tu [emoji23][emoji23][emoji23] akikatiza tu shughuli imeisha!
Sio ki ndorobo ndorobo, nyoka anakatwa kichwa huku mkunyenge upo ndani unasafisha kuta za chihebede, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
 
Sio ki ndorobo ndorobo, nyoka anakatwa kichwa huku mkunyenge upo ndani unasafisha kuta za chihebede, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
Hahahah hii kali nyoka achague kupiga deo kwa adabu au akatwe kichwa akafie mbele πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… watu wanapambania uchumi wa kati!
 
Ooh really [emoji847][emoji847] jmn my crush Jack Palladino where are you ? Ukuje uku tukate keki ya selfka

Eeh ndo maan tukawa macrush mungu atutunze inshallah [emoji120]

Thanks you honey [emoji7][emoji8]
Oh I didnt know that...kumbe ni twin wanguπŸ™‚. Nimechelewe keki.....this weekend was a bit busyπŸ˜“. Happy belated birthday my crush
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…