Nuzulati
JF-Expert Member
- Nov 25, 2020
- 10,756
- 39,397
Litatokea una shaka juu ya hilo jambo"In shaa Allah" inatakiwa iwe na matumaini ya kutokea kwa jambo ujue ukhty
Litatokea una shaka juu ya hilo jambo"In shaa Allah" inatakiwa iwe na matumaini ya kutokea kwa jambo ujue ukhty
Basi ngoja niondoe shaka. Nijiandae nipige ftari zangu huku nikimngoja ageukeLitatokea una shaka juu ya hilo jambo
Ndo mmeanza eehLitatokea una shaka juu ya hilo jambo
Kwahio mshaanza kukadiria bei ya miwa kabla haijaletwa mnadani! Hivo vidole vinaonekana vinachanja sana GombaVidole vinasadifu yaliyomo, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
HahahhahaHata wanangu natoa copy[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Kuanza nini mpendwaNdo mmeanza eeh
Nani kama mama?Thoughtful... With tears...,[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji22][emoji27]View attachment 1778952
Ulishaga wahi kuviona/kukutana navyo wapi mkuu?[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji85][emoji85][emoji85] hivi vidole kama navifaham hiviiii
Sent from my X-TIGI_JOY8_PRO using JamiiForums mobile app
HayamoVidole vinasadifu yaliyomo, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mwenyewe kwani nakumbuka basi?????
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaan hii week sijui nimekumbwa na jambo gani, natamani tu kufanya michezo ya kikubwa.Kwahio mshaanza kukadiria bei ya miwa kabla haijaletwa mnadani! Hivo vidole vinaonekana vinachanja sana Gomba
[emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]
Kipendhiiiiih bado uko visiwani? Plz niunganishe na mpemba m1 bas nilowee huko na mie, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Safi tyuuh, hebu tupia picha yako full kuanzia shingoni had miguun, ili nihakiki km hayamo, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hayamo
Mambo vipi mkuu
Njoo tunyonge mtambo basi kwanini unateseka jaman[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaan hii week sijui nimekumbwa na jambo gani, natamani tu kufanya michezo ya kikubwa.
Juzi sasa nipo na watu tunafanya discussion, si nkamshika mkono mtu m1 nkamkagua vidole, afu nkaropoka kwa sauti "wee inaonekana umebeba mguu wa mtoto" wallah walicheka, nilipatwa na aibu hadi bas.
Eeeh Jah aniondoleeh dhahama hii, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]