cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 116,289
- 187,945
Hebu acha mambo yako na wee, sio kila kitu basi nifuate heeh, ntafuata vingapi? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Njoo tunyonge mtambo basi kwanini unateseka jaman
Hebu acha mambo yako na wee, sio kila kitu basi nifuate heeh, ntafuata vingapi? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Njoo tunyonge mtambo basi kwanini unateseka jaman
Basi nakufuata mimi usijaliHebu acha mambo yako na wee, sio kila kitu basi nifuate heeh, ntafuata vingapi? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Boss huwa naikubali sana michango yako huko kwenye majukwaa..naomba uselfike na picha yako.
Hiyo chombo hapo ilikuwa inaondoka to DarKipendhiiiiih bado uko visiwani? Plz niunganishe na mpemba m1 bas nilowee huko na mie, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Uje nkupe skills! Huu mchele haujachambuka inavyotakiwa
Naona ushakula Mashua ya Noah
Nitakuja unifundishe nijifunze zaidi lakini kwa uzoefu wangu jinsi nilivyopika pilau mara nyingi, nadhani ni aina ya mchele niliopikia..Uje nkupe skills! Huu mchele haujachambuka inavyotakiwa
Thubutuuuuuh ntakutoa nduki oooh, [emoji23][emoji23][emoji23]Basi nakufuata mimi usijali
Ooooh kumbe umerudi bara, safi sana.Hiyo chombo hapo ilikuwa inaondoka to Dar
Eeh lawama ni mcheleNitakuja unifundishe nijifunze zaidi lakini kwa uzoefu wangu jinsi nilivyopika pilau mara nyingi, nadhani ni aina ya mchele niliopikia..
Kwa huo mchele hata angepika nani bado ungetoka hivyohivyo.
Hahahah acha mambo yako, kama unamjua yule Beka basi mie ni mara mbili yake 😆😆😆! Ntautumia ukorofi wako kama fursaThubutuuuuuh ntakutoa nduki oooh, [emoji23][emoji23][emoji23]
Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Eeh lawama ni mchele
Mmbovu kwanza
Itakuwa ulishaga wahi kuvishika au hata mwenye hivyo vidole ulishaga wahi kula nae chakula[emoji3]Mwenyewe kwani nakumbuka basi?????
Niko rafiki yang mambo mambo tu
Sent from my X-TIGI_JOY8_PRO using JamiiForums mobile app
Mafyati[emoji172][emoji172]View attachment 1775201View attachment 1775214
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee acha zako beka mshamba tyuuh wa malinyi huko.Hahahah acha mambo yako, kama unamjua yule Beka basi mie ni mara mbili yake [emoji38][emoji38][emoji38]! Ntautumia ukorofi wako kama fursa
Hahahahah tutakutana jifanye nunda tu nyuma ya keybodi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee acha zako beka mshamba tyuuh wa malinyi huko.
Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
Jamani jamani utakuja ufanywe kitu ushangae ooooh, unawajua wapare vizuri? Shauri yako. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahahahah tutakutana jifanye nunda tu nyuma ya keybodi
Nawasikia tu aisee! Sema wanapenda ile mambo sana ndio sifa yao kuu!Jamani jamani utakuja ufanywe kitu ushangae ooooh, unawajua wapare vizuri? Shauri yako. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app