cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 116,289
- 187,943
Kwanini wasipende? Wapare wako smart kwa kila kitu, sijutii kuwa na mpare, na km kuchepuka ntatafuta mpare, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wapare hoyeeeeeeeh.Nawasikia tu aisee! Sema wanapenda ile mambo sana ndio sifa yao kuu!
Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app