cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 116,289
- 187,941
Ameeen, fanya hivyo.Nakutumia pm mkuu
Ameeen, fanya hivyo.Nakutumia pm mkuu
Aisee una vilips flani hivi amazing 👍Kumbe bila lipgloss inawezekanaView attachment 1765659
Mkuu, ndo nini hiyo!View attachment 1775877
Baada ya kuachana na ndumba[emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] umekuwa ngariba? Mbna km pumbu hii?View attachment 1775877
Baada ya kuachana na ndumba[emoji23]
Asante fina...😘😘😘Aisee una vilips flani hivi amazing 👍
Akili niliziacha Dodoma [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] leo akili zako umeziacha wapi? Nimecheka hadi watu wananshangaa khaaah
Kama vipi kapigishe pombe tu!Kanalialia lakini nimekapa simba alale naye! [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787]
Kumejaa baridi tu[emoji16]Ila mbeya pazuri jamani, [emoji177][emoji177][emoji177]
Sahani imeota nundu mkuuView attachment 1775877
Baada ya kuachana na ndumba[emoji23]
Amen.Tizainuka na nyemi kangi tizagosha vitana. Taakutogola iwe Tate mwena mbazi kangi una viugho na mbazi zako nizakale na kale, amini.
MKALIMANI1
Timeamki tukiwa na furaha kwa sababu tulilala vyema. Tunakushukuru Baba mwema kwa sababu unahekima na huruma zako ni za milele na milele, amini.
MKALIMANI2
We are cheerful this morning as we had wonderful sleep.
We thank you Lord for your wisdom and always merciful, amen.
Amen
Aamen.. Kwa Neema Mungu atatendaAmen
Nitafurahi endapo siku moja hii familia ya selfika tukakutana Mbinguni.
Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
Wee, katakufa haka! 🤣 🤣 🤣
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wee, katakufa haka! [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787]